Kuhusu sisi Mtandaoni Mart

Kuhusu sisi Mtandaoni Mart



 Kuhusu Sisi:

online Marketing

Kupitia sisi, utajifunza jinsi ya kuingiza kipato mtandaoni kupitia simu janja(smart phone), Laptop au Desktop yako pia utapata ujuzi wa kukuza biashara yako kidigitali(mtandaoni).

Pia tutaweza kukutangazia biashara yako Ili uweze kupata watu wengi zaidi kwa muda Mfupi

Cha zaidi tutakufutia masoko, ndani na nje ya nchi yani Dunia mzima.

Hii ni Kwa watu binafsi, kikundi, taasisi na makampuni makubwa tunawakaribisha kupata huduma zetu zilizobora


Tufollow kwenye mitandao ya kijamii kama:

@mtandaonimart


Kwa whatsapp|call|sms:

+255745139937


Kwa booking|kibiashara:

mtandaonimart@gmail.com


Asante Kwa Kutuchagua